Titus 3:3-4

3 aMaana sisi wenyewe wakati fulani tulikuwa wajinga, wasiotii, tukiwa watumwa wa tamaa mbaya na anasa za kila aina. Tuliishi katika uovu na wivu, tukichukiwa na kuchukiana sisi kwa sisi. 4 bLakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa,
Copyright information for SwhNEN